Header Ads

LADY JAY DEE REASON FOR QUITING MARRIAGE.....



 She is the Tanzanian number one sensational lady.  Lady Jay Dee is her name and she has decided to bring to public that she has decided to quit her marriage.
Speaking on East African radio, she described her husband as Gardener Habash as a real cheat. What disgusts her most is that Habash gets touchy with her lady friends even in her presence.
This is her post showing why she made this decision


"Hatuja achana niliamua kumuacha.Nimemuacha kutokana na kuwa Ndoa inatakiwa iwe na maelewano,furaha,amani na upendo.ila kwa bahati mbaya vyote hivyo havikuwepo,sikuwa tayari kuendelea kuishi kwa maumivu huku niki pretend ili kuiridhisha jamii.sioni kujishushia heshima,ila naona nilikuwa najishushia heshima zaidi kuishi na mume asie na heshima,anaeweza kutongoza na kushika wanawake makalio wakati mi niko jukwaani naimba. Kuwapa mademu magari yangu waendeshe na kuyagonga wakati niko safarini. Ukiachilia mbali vipigo.Kutembea na wahudumu wa restaurant yangu.Ushahidi ninao. …..niliwahi mkuta anawashika mapaja na akakiri kosa. bado kupigana na kuwatusi wateja pia.Kifupi ilikuwa ni ndoa ya mateso".




No comments:

Powered by Blogger.